mpangaji wa NHC afyatua risasi

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
hii ni baada ya kutaka kuhamishwa kwa nguvu.mpangaji huyo alifyatua risasi hewani ili kuwafukuza jamaa wa auction mart ambao mara nyingi hutoa vitu nje na kutia makufuli.kweli tunaelekea pabaya watu wameanza kuwa wababe.kwa habari zaidi tune TBC mida hii
 
mpangaji anaitwa macha kibore,alikuwa anadaiwa milioni moja na zaidi.
 
baadae polisi walifika na kumtia mikononi mpangaji huyo.na maafisa wa NHC wakaendelea na zoezi la kutoa vyombo.
 
Macho kibore...eti hakuna kitakachotoka hapa, iwe kwa damu ama kwa njia yeyote, kama mnabisha tuanze vita sahv! Mbona katiwa mbaloni sasa...kweli mkaidi hafaidi.
 
Macho kibore...eti hakuna kitakachotoka hapa, iwe kwa damu ama kwa njia yeyote, kama mnabisha tuanze vita sahv! Mbona katiwa mbaloni sasa...kweli mkaidi hafaidi.
jamaa kapiga mkwara ile mbaya!
 
Eti hakuna kinachotoka iwe kwa damu ama usaha.dah iyo kali...bt huenda kukawa na kitu nyuma ya pazia haiwezekani mtu mzima na heshima zake kama yule akawambabe kwa kitu anachodaiwa,huenda amechakachuliwa ama kuna mtu kamchongea,al in al tutajua tu
 
nimeshangaa kuwaona maafisa wa NHC wakija na vyombo vya habari,ina maana walikuja kumdhalilisha na sio kufanya kazi yao.next time watakula za vifua!
 
yule mzee noma mkwara aliopiga mi nikajua watamtoa maiti mwisho kanywea.ila ndo ujjue watu wamepinda na maisha usawa huu
 
hao jamaa wa NHC walitaka kumdhalilisha huyo mzee wa watu,kitu cha kwanza wamemfata jeshi la watu kibao,pili hilo deni cdhani kama linaendana na gharama walizotumia kuwakodi hao madalali na hiyo timu ya watu,waandishi wa habari humo humo,na mwisho wakaenda kumletea kituo kizima cha polisi na defender 2,thats not fair kwakweli,kuna kitu hapo c bure
 
nimeshangaa kuwaona maafisa wa NHC wakija na vyombo vya habari,ina maana walikuja kumdhalilisha na sio kufanya kazi yao.next time watakula za vifua!

yah kweli ur a great thinker nimepata logic,vile vyombo vya habari vilitoka wap? Awa watakuwa walikuwa na bifu na huyu mzee.
 
hao jamaa wa NHC walitaka kumdhalilisha huyo mzee wa watu,kitu cha kwanza wamemfata jeshi la watu kibao,pili hilo deni cdhani kama linaendana na gharama walizotumia kuwakodi hao madalali na hiyo timu ya watu,waandishi wa habari humo humo,na mwisho wakaenda kumletea kituo kizima cha polisi na defender 2,thats not fair kwakweli,kuna kitu hapo c bure
Nakubaliana nawe kwa asimilia mia moja.
Kwanza rate ya mwezi ni kiasi gani mpaka ifikie millioni moja na ilazimishe mpaka madalali unless nyumba hiyo iko sehemu ambayo sio prime.Nina maana ya kuwa kwa kodi za nyumba za mjini kati hii haiwezi hata kuwa ya mwaka mmoja.
nahisi kuna mtu anaihitaji hiyo sehemu na katoa cha juu.
 
Wapangaji wa NHC wawe wanalipa kodi maana laiti wangejua uraiani kodi ilivyo juu wasingechezea fursa adimu ya kukaa nyumba za bei poa
 
Back
Top Bottom