Kama baba hana busara ya huliona hili je familia nzima ni mafilauni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama baba hana busara ya huliona hili je familia nzima ni mafilauni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tewe, Feb 8, 2012.

 1. T

  Tewe JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu nimeshangazwa sana na ukimya wa raisi kikwete juu ya mgomo wa madaktari na madhara yake kwa raia wote (waliomchagua na wasiomchagua pia). Wananchi wanakufa kwa uzembe wa watendaji wake na yeye amekaa kimya. Kama rais hana busara wala huruma na watu wake, je hata mkewe hana busara za kumshauri mumewe? Je, hata watoto wake hawalioni hili? Je hii familia niya aina gani?. Hii ni familia ya binadamu au mbwa mwitu? Ama kweli inadhihilika tunaongozwa na watu wa aina gani.
  Wito wangu kwa salma, tumia nafasiyako kwenye familia kumshawishi mumeo awe na huruma, chukulia kama unaumwa na uchungu na huwezi kujifungua kwa njia za kawaida ila upasuaji na huwezi kutumia rasilmali za nchi kama ufanyavyo sasa. Ungejisikiaje kwa huu ukatili unaofanywa na buzi lako? Ona huruma na wezio, uwe na busara kama mke wa adili
   
Loading...