Kosa la serikali

madatta

Member
Oct 14, 2010
23
2
kama mtakumbuka kipindi serikali ilipoamua kuwapa nafasi waajiriwa ya kujipatia kipato,ikatoa siku ya jumamosi kuwa siku ya mapumuziko,na pia kuwahamasisha kufungua biashara dogodogo ili kujiongezea kipato.

Walio kuwa chini ya idara ya afya walifungua phamarcy/Dispensary/Hospital na hata Laboratory hii ni kufuatana na uwezo alokuwa nao mhusika.
Kwa muda mrefu hospital zetu zimekuwa na huduma mbovu siku hadi siku.

Malalamiko hayakusikilizwa.ukweli ili dhahiri Madaktari walitumia mwanya huo kuboresha hospital zao zikawa bora nazikawa na uwezo hata zaidi ya hospital za serikali, madawa,vifaa huduma, na hata watabibu, basi kwa muda wote huo ni nadra kwa watumishi wa sector ya afya hana chochote katika hayo.

Serikali isitishe kwa lolote kuwa itawafukuza Madaktari walogoma, haitasaidia, kuwafukuza watakao umia ni sisi ambao hatuna uwezo wa kwenda Regency, Agakhan n.k

Basi huo do ushauri wangu serikali ikubali kuwa ni Kosa la muda mrefu ikae na kuleta suluhu ubabe hausaidii.
 
Back
Top Bottom