Tunasikia mambo makubwa, ni yapi hayo kayafanya Lowasa? Tujuzeni maana upotoshaji ni mwingi!

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nimekuwa nikisikia lowasa kafanya mambo makubwa ila hayatajwi, naomba basi mwenye kuyajua atutajia
1.utasikia shule za kata-
2.alivunja mkataba wa city water
3.Njia tatu
haya ni juzi akiwa waziri mkuu na impact zake tunaziona hasa mpango wa kukurupuka shule za kata
ikumbukwa amekuwa kiongozi wa serikali tangu miaka ya sabini na 1989 alikuwa mkurugenzi aicc!
tujulisheni kafanya nini????
1
2
3
4
5
6
7
8
9
 
Lowasa ni janga lingine na ni wale wale.kumbuka yanayotokea sasa hivi ana mmchango mkubwa sana tu
 
alisaidia kuleta Richmond na kujimilikisha Ranchi za kufugia. HAyo ndo makubwa alofanya.
 
nashangaa hata wanasema hayo mabo makubwa wanashindwa kuyamwaga jamvini! msifate mkumbo tumieni akili zenu kugundua ujanja wa hawa watu!
 
Back
Top Bottom