Hii ndo maana ya uongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo maana ya uongozi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MASHOW, Feb 8, 2012.

 1. M

  MASHOW Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naandika nikiwa na masikitiko sana kwani serikali ya ccm imeshindwa kazi kabisa.Je kama mgomo wa madaktari sio jambo la dharura je nn kinachizidi maisha na uhai wa watu?nafikiri kwa hili tuache ushabiki na kuwa na huruma na maisha ya watz mlioko huku mwambieni JK anachemka mbaya
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  wallichagua wenyewe ccm hao...ila inauma sana
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Serkali inafanya ubabe na shida za madaktari. Mbona mafisadi hawawachukulii hatuwa.
   
Loading...