Jamani hii ndiyo tuseme ni kafara la siasa Tanzania au?

dijly4

Member
Sep 11, 2011
26
9
Unajua mwenzenu nashindwa kabisa kuielewa serikali yangu iliyo madarakani kwani majanga makubwa yanayoyoonekana machoni pa viongozi kuwa ni madogo yanautesa sana moyo wangu.
Mabomu ya mbagala
mabomu ya gongo la mboto
mauaji ya vurugu za arusha
mafuriko
leo hii tunasikia wenzetu wanakufa ktk hospitali mbalimbali za umma, pia ni janga kubwa mno

kinachoniuma ni hiki
serikali inavyochukulia jambo lenyewe, kwa kuwaficha wananchi taarifa sahihi kuhusu kinachoendelea huko mahospitalini kwa kudanganya kuwa huduma zinaendelea

bungeni spika anakuwa mbogo kwa kuambiwa kuwa jambo hilo ni la dharura

mie nadhani hili linaweza kwa ndilo kafara la chama tawala ili kiendelee kbaki madarakani

inasikitisha jamaniii!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom