Hatimaye nia yao imeanza kufana"Watoto wa maskini tubaki kuwapigia makofi majukwaani"

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Ndugu zangu wana JF,

Ni masaa kadhaa yameshapita baada ya mavuno ya vijana wetu wa kidato cha nne kuwekwa hadharani. Inasikitisha sana, hii ni zaidi ya maafa. Kuna haja ya kulitafakari swala hili kwa umakini sana. Nini hasa shida Mfumo, Sera au vijana wetu ni mbumbumbu!. Waziri mwenye dhamana anasitahili kuwajibika ktk hili hasahasa atoe tamko juu ya mafanikio ya shule zake za Kata, maana ni kama viongozi wetu wametusogezea kaburi karibu ili watoto wao waendelee kuonekana vichwa. Kawambwa ajihudhuru.
 

Attachments

  • Taswira ktk taifa.jpg
    Taswira ktk taifa.jpg
    68.3 KB · Views: 59
Hata hiyo ya mtoto wa Kikwete kupata IV inawezekana ni danganya toto,bado atasoma kokote kule,shame on us WaTZ kubaki kimya na hali hii
 
nasemaga kila siku kwanini waziri husika aaitimuliwe?form four aibu,darasa la saba nusu ya waliofaulu hawajui kusoma na kuandika....wats wrong?????????
 
Mtaji wa masikini ni ................................!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom