Wenyeji wa Bagamoyo wanadai ni ya Mkulu japo katika makaratasi mmiliki ni mwingine.
Kwa nyuma ni moja kati ya majengo ya kale ya kihistoria ambayo inasemekana ilikuwa ni Posta.
Hongera sana...
Nchi tajiri na za ulimwengu wa kwanza zinjiandaa kuondokana nayo, watu wa mazingira ni miongoni mwa wanaharakati wanaoipinga vikali nishati hii pamoja na ukweli kwamba umeme ukizalishwa kwa...
Utafiti umeonyesha kuwa karibu 40% ya wanaume waliokwenda kupima Muhimbili wamegundulika kuwa wagumba. Je itakuwaje iwapo daktari atakwambia kuwa wewe huwezi kushikisha mimba wakati mke...
Wakimpigia tu kura ya kutokuwa na imani nae anahamia CHADEMA. sasa hivi mwana Ccm yeyote anafanya chochote na wakimtisha kmfukuza aseme atahamia CHADEMA, baaasi wanafyata mkia.Mkuu wao kakubali...
Raisi Kikwete amekuwa akisumbuliwa sana siku za karibuni na watu kumtaka aachie ngazi hilo haliwezekani na haliruhusiwi sababu
1.Yeye kachaguliwa na watanzania wote si chama fulani tu.Hivyo chama...
Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI...
Mchungaji Lusekelo awaponda
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lililopo Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako amewafananisha na wauaji wa albino...
rafiki yangu ni geologist pale buzwagi,kaniambia inapokuwepo dhahabu kuna na silver tena kwa ratio ya 3:1 yaani kila dhahabu moja kuna silver tatu au zaidi,mkataba walioingia wazungu na serikali...
Kesho maandamano kuanza saa tatu asubuhi mbele ya kituo cha sheria na haki za binadamu kilichopo kijitonyama, nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii. tafadhali kabla maafa ya hayajakuwa makubwa...
Ivi hawa TBC kukata matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni ni kutukatia ili wananchi tusiskie ripoti ya kamati kuchunguza madai ya madaktari au ni vipi? Toka Tido kaondoka TBC imekua magamba...
leo ni siku ambayo vijana wetu wa form six wameanza mitihani. nashangaa hakuna chombo cha habari kilichotangaza habari hii kuanzia RADIO, TV NA MAGAZETI. kulikoni mbona wa darasa la nne la saba...
Mpendwa mteja, Vodacom haihusiki na ujumbe unaokutaka upige simu upate ujumbe muhimu. Tafadhali usipige simu kama una mashaka na chanzo cha ujumbe.
Wakuu nimepokea sasa huu ujumbe toka Vodacom
Hello jf,
Leo mitihani ya kidato cha sita imeanza,imefanyika au laa,na wale wanafunzi wa ndanda wanafanya mitihani kama kawaida au laa?
Nipo sehemu ngumu kidogo kwa redio kushika.
Katika hali ya kushangaza imesikika katika vyombo vya habari daktari mmoja wa bugando aliyetajwa kwa jina la Dr Gilyoma amesikika akisema eti wagonjwa walokosa huduma katika hospitali ya Muhumbili...
Hivi harakati za urais 2015 wakati tukiwa na rais ambae muda wake bado miaka 4 ,je tafsiri yake ni kuwa rais aliyeko madarakani ameshindwa kuongoza au ? maana ukiwa kwenye kazi ukaona nafasi yako...
Ni Josephat leo kaingia choo cha kike,alitaka kumtolea vyombo mpangaji wa NHC,jamaa kaingia ndani katoka na mguu wa kuku akapiga hewani,hata hvyo kina rasi makunja waliwasili katika tukio na...
Gazeti la Mwananchi leo limetoa utafiti wa kitaalam kwamba asilimia 45 ya wanaume ni wagumba. Kuna sababu ya kuzaliwa na nyingine ni kuathirika katika tezi inayozalisha manii kutokana na sababu...
nasikia umejiunga na jf ,tafadhali naomba mwambie mh Godbless lema .jimboni kwake arusha atulali kelele za mziki kutoka ukumbi wa active club .uliopo mbauda kata ya sombetini ,tumelalamika kwa...
Kazi kubwa ya madaktari ni kutibu wananchi wenye hali ya chini, na mgomo huu umetuathiri sisi wananch wa hali ya chini ambao ndio walipa kodi zinazowalipa madaktari mishahara na kuboresha huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.