Juhudi za RC wa Dar zagonga mwamba huko hospitali ya Temeke

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
mkuu wa mkoa wa Dar bwana mecky sadick alijaribu kuvaaa viatu vilivyomshinda mizengo Pinda na kujaribu kujadiliana na madaktari na kada nyingine za afya hospitali ya manispaa Temeke kuhusu kusitisha mgomo.kikao kimeisha muda si mrefu na majibu ni yale yale....TOOLS DOWN.
 
Ameyataka tu. Anahela huyo hadi wamsikilize, tunawasikiliza wenye hela tu na wenyewe wakiboa kila kitu kama kawa.
 
Ameyataka tu. Anahela huyo hadi wamsikilize, tunawasikiliza wenye hela tu na wenyewe wakiboa kila kitu kama kawa.

sasa badala kumpelekea rais hali ya mambo ilivyo,yeye atatuma ujumbe kwamba "tunalishughulikia kwa umakini wa karibu ,nategemea kuitisha kamati ya ulinzi na usalama jioni hii" au atasema "najaribu kuwasiliana na waziri wa ulinzi atutafutie wanajeshi wa kuzugia"
 
Almost kila mti unateleza sasa!
Ajizi nyumba ya njaa...
Kwa hali ilivyo naanza kuhisi kuwa Vigogo wanatibiwa kwa siri na hawa madaktari Bingwa labda majumbani kwao...kwanini toka siku hizo hakuna hata kigogo aliyezidiwa na kukosa matibabu?
 
yaani hamna hata aliyepandisha presha!
 
sina uhakika kama ile amri ya pinda imeshafutwa,kwamba ni marufuku madaktari kukutana.au kukutana na viongozi inaruhusiwa?
 
Kwa mujibu wa Waziri mkuu, madaktari ambao hawakurudi kazini walikua wamejifuta kazi wenyewe tangu jumanne, sasa huyo mkuu wa mkoa alikua anawabembeleza madactari gani?
 
sina uhakika kama ile amri ya pinda imeshafutwa,kwamba ni marufuku madaktari kukutana.au kukutana na viongozi inaruhusiwa?

Pinda nae ana amri gani nchi hii?? akitoaga matamko mara akunje uso mara aukunjue mara augeuze..hata simuelewagi.
 
Almost kila mti unateleza sasa!
Ajizi nyumba ya njaa...
Kwa hali ilivyo naanza kuhisi kuwa Vigogo wanatibiwa kwa siri na hawa madaktari Bingwa labda majumbani kwao...kwanini toka siku hizo hakuna hata kigogo aliyezidiwa na kukosa matibabu?

Kweni hujajua tu kama wanaokufa ni masikini?
 
Nchi inakosa mwelekeo na tusipoangalia tutafika pabaya,nasubiri kuona maaskari nao wakigoma.
 
Back
Top Bottom