Familia ya JK yamkana aliyetoweka na mamilioni UVCCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia ya JK yamkana aliyetoweka na mamilioni UVCCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HP1, Feb 20, 2012.

 1. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  FAMILIA ya Rais Jakaya Kikwete imekana kuwa na nasaba na aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilayani Simanjiro, Alhaj Omar Yufus Kariaki, anayetuhumiwa kutokomea na zaidi Sh26 milioni, mali ya jumuiya hiyo.

  Dada wa Rais Kikwete aliyehudhuria harambee ya kuchangisha fedha hizo kwa mwaliko wa Alhaj Kariaki, Tausi Kikwete aliliambia gazeti la Mwananchi mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa kitendo cha kijana huyo kujinasibu kuwa na undugu na familia yao, kililenga katika kujinufaisha isivyo halali.

  “Ukweli ni kwamba kijana huyo siyo ndugu yetu hata kwa mbali. Kwanza yeye anatoka Kondoa, wapi na wapi na sisi Wakwere wa Bagamoyo, mkoani Pwani, Hatumfahamu kabisa kwenye ukoo wetu zaidi ya kufahamiana naye tulipokutana Hija,” alisema Tausi.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni mchumba wa mwanaasha

  atakua
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  alhaji mwizi,hii ni hatari.
   
Loading...