HAWA NDIO BINADAMU wa leo

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]HAWA NDIO BINADAMU wa leo
1.Wakikukwepa ucjali,Ipo cku watakutafuta.
2.Wakikusengenya Nyamaza,Huenda watajifunza.
3.wakikununia,omba mungu ipo cku watakuchekea.
4.Wakikupongeza usiwaamini Labda wanakujoki.
...
[/h]Endelea.......
 
Ujue katika kupambana na maisha lazima utakutana na watu wa aina nyingi sana na usipokua makina utakuwa unashindwa kuishi na kila mtu
 
HAWA NDIO BINADAMU wa leo
1.Wakikukwepa ucjali,Ipo cku watakutafuta.
2.Wakikusengenya Nyamaza,Huenda watajifunza.
3.wakikununia,omba mungu ipo cku watakuchekea.
4.Wakikupongeza usiwaamini Labda wanakujoki.
...

Endelea.......

Wakinuna niombe Mungu, au nishukuru Mungu? Maisha yalivyo magumu siku hizi..!!! Jirani asipoomba chumvi si ananipa unafuu wa maisha?
 
Wakinuna niombe Mungu, au nishukuru Mungu? Maisha yalivyo magumu siku hizi..!!! Jirani asipoomba chumvi si ananipa unafuu wa maisha?

Na ikifika siku yako na wewe ya kuomba unafuu utauona wapi?
 
Wakinuna niombe Mungu, au nishukuru Mungu? Maisha yalivyo magumu siku hizi..!!! Jirani asipoomba chumvi si ananipa unafuu wa maisha?

Ha ha ha mkuu unapenda kununiwa heee!!!
 
Tafuta hela wewe achana na watu utaumiza kichwa bure,mie sishobokei mtu na sitaki mtu anishobokeeee!
 
Ufanyayo si lazima na wengine wafanye hivyo. Naona kama unajihisi vile!
 
Mie?? Nakopa duka la mpemba. Hawezi kuninunia yeye, kwa sababu anajua akinuna, biashara yangu napeleka kwa mangi..!!

Mh unachukulia kirahisi rahisi kwa vile hayajawahi kukukuta ila ugumu wa maisha ukikutembelea siku moja utayajutia maneno yako
 
Back
Top Bottom