Machangudoa Lusaka watoa ofa ya ngono kushangilia ubingwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machangudoa Lusaka watoa ofa ya ngono kushangilia ubingwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RICH OIL SHEIKH, Feb 20, 2012.

 1. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ofa ya ngono inatolea bureee ktk club za usiku zilizoko maeneo ya Kanyama, Kanchembe na Chine ambapo walikutwa watu kama 200 hivi wakiwa wamepanga foleni kusubiri kupata ofa hiyo. Malaya mmoja alikuwa akifanya mapenzi na wanaume hadi 11 kwa usiku mmoja. Pia hali ilikuwa hivyo hivyo katka club ya Corogo, ambapo mtu mmoja alikula kipigo baada ya kutumia mdamrefu zaidi ktk huduma hiyo. Mashuhuda wanasema wengi walifanya mapenzi na malaya hao bila ya kuvaa kondom. TUNAELEKEA WAPI SIJUI?


  Mwananchi 20/2/2012.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,464
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  na huku itatolewa kweli taifa stars wakifanya mambo?
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  duuuuh! kunogelesha huku!
   
 4. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upumbafu!
  Na waliopanga hiyo foleni hiyo wote hawana akili.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,915
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  I bet......
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kuna basi linaandaliwa pale Ubungo stendi ya mkoa ili wabongo nasi tuwahi ofa kabla haijaisha
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Hao si kwamba walikuwa wanasherehekea ushindi bali WANA "SHETANI WA NGONO" na huenda wana UKIMWI sasa walikuwa wanausambaza kwa wengine kwa kisingizio cha kushangilia ushindi.

  PUMBAFU UUUUUUUUUU ZAOOOOOOOOOO


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 8. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawa wa kibongo mbona bahili sana mbona

  twiga stars waliposhinda hawakutoa ofa kama zambia?
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Hivi treni ya TAZARA inasafiri leo?
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakika hii inazidi kudhihirisha mwisho wa dunia umekaribia
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes sobhuza,nimewasiliana na watu wa tazara wanasema tren ipo leo saa 9.30,vp utaenda niwambie wakuwekee ticket?pls respond asap nikuulizie nauri ni bei gani.
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,236
  Trophy Points: 280
  Kwa wabongo navyo wajua wanaweza kwenda maana hapo unaanza na club moja baada ya nyingine!!Unabanjuka tu!
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  sobhuza nakusubili mkuu!
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  DUDU JEUSI!

  Mdau anajaji namna ya kwenda ndiyo akujib.
  Halafu akizingatia wewe ni mgeni humu,anapata lundo la mawazo!

  Kuwa mpole atakujb,Ama atakuPM!
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  poa mkuu liver,ngoja nimsubili.
  But tembelea bunge la wana JF utaona nimewakilisha!
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ngoja nitazame upepo.
  Kumbuka treni inachukua siku nne kufika Kapirimposhi, halafu nilale pale mpaka asubuhi (maana itaingia jioni au usiku), kesho nifanye mpango wa kuenda Lusaka kwa kuwa nitakuwa nimechoka na siwezi kusafiri usiku ugenini.
  Ngoja nicheki na Air Zambezi kama nauli zao ziko reasonable takutana huko.
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kali za mwaka hizi
   
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Poa mkuu,lakini nasikia "salama zimeisha"so wanafanya utaratibu wa kuagiza nyingine kiwandani german.
  Za kibongo hazifai tutakupoteza ndg yetu,maana zitumikazo kule ni kama ovalori so inabidi uivae kuanzia miguuni mpaka kichwani.
   
Loading...