Je Kikwete ana Kauli gani KUHUSU Waziri wake Dr. MWAKYEMBE?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Hivi Raisi ana kauli gani kuhusu kuumwa na kuujumiwa kwa waziri wake Dr Mwakyembe?

Hii inanitia mashaka sababu ya Raisi watu kukaa kimya wakiti mtumishi wake anaangaika na police
amalalamika bila kupata msaada.

Je Raisi report ya Mwakyembe ya Mwaka jana hukuiona? mbona hukuamuru police washughulikie
madai yake kama DCI aligoma?

yaani bado nina mashaka na ukimya wako something is behind this move:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom