Kivuko cha Kigamboni uozo mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivuko cha Kigamboni uozo mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domo Kaya, Feb 20, 2012.

 1. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi nini maana ya kupandisha nauli ya kivuko?

  Mimi leo nipo kwenye foleni tangu 5:45 asubuhi mpk muda huu wa saa 8:00 hata pakukatia ticket sijafika.

  Foleni haisogei kabisa, watu wanapita ENTRY wanaondoka sie tumebaki kwenye foleni. Sasa hii nauli iliyoongezwa faida yake nini? Km huduma wameshindwa kuboresha?

  Yaani huduma siku hizi mbovu kuliko tulivyokuwa tunalipa 800 kwa saloon car.

  Mie sielewi mwisho wake ni nini au mpk tuandamane?
   
 2. n

  ngony Senior Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  unalalamikia foleni? au unalalamikia kupandishwa sh.100? au unalalamikia ubovu wa huduma kv vile upatikanaji wa tiket? Mi cjakuelewa naona mapov yanakutoka. mi naona tuandamane au unasemaje?
   
Loading...