Nicki Minaj Ayazusha Grammy Awards | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nicki Minaj Ayazusha Grammy Awards

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gamba la Chuma, Feb 19, 2012.

 1. G

  Gamba la Chuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,247
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  Kitendo cha mwanamuziki Nicki Minaj siku ya tuzo za Grammy, kuingia akiwa na ameambatana na mtu aliyeigiza kama Papa, Mkuu wa Kanisa Katoliki kinaendelea kuzua mjadala kila uchao. Uongozi wa Katoliki umesema inawezekana Nicki anamilikiwa na Pepo, lakini umelaumu waandaaji wa tuzo za Grammy kuruhusu kitu kama hicho chenye kuleta kejeli kwa imani za mamilioni ya watu.
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  achana nae huyu lesbian na gaga..
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  Mmmh ndo walomchuria mwenzao.
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  angeigiza kama mtume wa wenzetu watu wangekuwa washauana kitambo ilichorwa tu katuni ikawa shida
  wakristo wamesema tu ana mapepo kwao inatosha,
   
 5. m

  mwanadewa Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hivi Papa ni Mtume?
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mi naona fresh tuuuu. Kwani kitu gani bana?
   
 7. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani UKRISTO ni dini? mpaka wa hamaki kama waislamu.
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kati ya dhambi zisizosameheka ni ya kumkashifu roho mtakatifu, na roho wa Mungu hukaa ndani ya watumishi wake, mimi siwezi jua kwa nini alifanya hivyo lakini as far as im concerned God cannot be mocked. Mungu anajua atakachovuna kwa alichopanda.
   
 9. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa ni Wenzetu, pangechimbika, maana acha kuwajazia watu, wangewajazia mataifa na mataasisi yake NATO, UN na Ocampo angepata kibarua
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wakristo hawanaga shida-hata ange-act kama nani-hatuna tatizo-waislamu ndo complicators kwenye vitu vidogo kama hivi
   
 11. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kuna harufu ya udini hapa...
   
 12. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  hata mimi nahic udini umeingia but cjui umeingiaje ingiaje?. Mi ni mkristo kabisa but kiukweli hapa wakristo ndo wameanza kuchafua hali ya hewa!.
   
 13. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani ucristo ni dini? Uliona wapi dini kwa upande inaruhusu mambo ya ushoga
   
 14. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Nashangaa,angalau tungemzungumzia yesu ndo ungezua la mtume!
   
 15. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Uliona wapi dini inashikilia bango kuzuia watu wasijichane 'chair fire' lakini haitilii mkazo sana kudhibiti dhambi zingine kama uzinzi?
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wachangiaji wa hii mada vipi? Mbona mnatoka nje ya mada?
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  she is crazy! Sio ana pepo! yeye mwenyewe ni pepo!
   
 18. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukizini unapigwa mawe mpaka unakufa ila ukila kitimoto waislamu wana ku outcast tu hakuna kupigwa mawe therefore uzinzi umezibitiwa kuliko kitimoto.
   
 19. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wakristo hawana shida kwa kuwa Mungu wao anajitetea mwemnyewe kwa miujiza anayotenda haitaji binadamu amtetee.
   
 20. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Watu wamehamia kwenye udini. Mimi ninaona dini ni urithi tu. Ni urithi kwa sababu ni ngumu kumbadili mtu na dini aliyozaliwa nayo. Wengi wanatetea dini walizorithi au kuzaliwa nazo. Muhimu ni kuwa BWANA yupo juu ya dini zote! Na hivyo ni muhimu kuheshimu imani za watu! Wanaokejeli dini nyingine hawana tofauti na Nicki Minaj !!!
   
Loading...