na iishie huko huko hadi semina ya mwakasege iishe!!!
Hii ndiyo bongo bwana!! Hali ya hewa wanakula kodi zetu kiulaini, na bado tunahangaika kupeana taarifa za hali ya hewa.
TMA watakuwa kwenye warsha. Halafu mvua zikishaharibu kila mahali wataibuka na kutuambia kulikuwa na joto kali chini ya bahari! Mandawa kweli kweli hawa watu.Hao TMA wamekalia tu politiki.
Bonge la mvua na dar yote ishafunikwa na wingu,
Wanatabiri matokeo tu sio matarajio. Ukiwategemea sana itakula kwako. Jifunze kusoma alama za nyakati utapata majibu. About 10 years ago or so kulikuwa na elnino. Inasemekana mabadiliko ya tabia ya hali ya hewa huwa yana kuwa na kawaida ya kujirudiarudia kwa mzunguko wa karibia miaka kumi. Kwa mantiki hii msimu huu wa mvua unaweza kuwa na maafa makubwa kutokana na kuwa na mvua kubwa.Wa JF huku mjini kuna giza kubwa zingu zito limetanda. Hawa TMA wako wako for update ya wealth