Parking System Arusha hadi Usiku ?

Dec 13, 2011
54
13
Ni kweli watanzania tunahitaji kukusanya kodi kwa maendeleo; lakini kwa utaratibu huu ulioanza hivi karibuni maeneo ya stendi kuu na stendi ya Viford (daladala) ni mpya na sidhani kama una tija au kuneemesha baadhi ya vingunge, yani wafanyakazi wameanza kuingia kwa shift na ni masaa 24 sasa, wana JF tulisemee hili
 
Huo ni wizi au? Mbona daily wale wakusanya ushuru jijini hulipoti pale stendi saa 11 jioni na siku ya jumamosi saa 6 mchana? Au wavamizi,inabidi wautaarifu umma wa watanzania
 
Mbona mwisho saa 12 jioni? walikuona "wakuja" kweli kina Ndumilakuwili wengi Arusha!!
 
Huwa nawaona hapo stand kuu muda wa saa moja wakikusanya ushuru katika magari yanayoingia stand muda huo ila sijui wanaendelea hadi muda gani . Ila muda sahihi anayeweza kujibu ni mkurugenzi wa jiji la Arusha
 
Back
Top Bottom