kimbunga cha ajabu chapita Arusha

kimbunga cha ajabu chapita Arusha

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
wanajf kuna kimbunga kikubwa kimepita arusha sijui kimetoka wapi na sijajua madhara yaliyotokea...nadhan ni katrina
 
Poleni Sana;

Naomba ufuatilie kisha utujuze mkuu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Machame jana mvua na upepo karibia asilimia 70 ya migomba na wire za umeme zipo chini,sa sijui huu mwaka vp tena?poleni wandugu,
 
Mimi nipo Arumeru, kimepita kimbunga kikubwa sana maeneo ya kutokea King'ori kwenda Kikatiti na maeneo ya milimani. Kiliambatana na vmbi la ajabu na wingu kubwa kama la mvua lakini matokeo vimanyunyu kidogo ndio vikadondoka.
 
poleni hicho kinaitwa matilda sio katrina
 
i see....
Poleni sana....

Nakiishie huko huko maana hili wingu la huku tishable
 
Poleni sana wanaArusha .Kimbunga kimemfuata Baba Riz nini?
 
Machame jana mvua na upepo karibia asilimia 70 ya migomba na wire za umeme zipo chini,sa sijui huu mwaka vp tena?poleni wandugu,

Hapa mtaani kwetu 90% ya migomba imelala chini.

Kuna Mama mmoja jirani na kwng hapa analia machozi ya mtu mzima!

Mi cjui hata Kimbunga hii tuipe jina gani,Na labda tuwasubiri wataalam waje.
 
nmeongea na jamaa angu yupo rombo anasema hko kimbunga kimepita pia mpaka kia then arumeru kinaelekea serengeti
 
Hapa mtaani kwetu 90% ya migomba imelala chini.

Kuna Mama mmoja jirani na kwng hapa analia machozi ya mtu mzima!

Mi cjui hata Kimbunga hii tuipe jina gani,Na labda tuwasubiri wataalam waje.

du kwa kweli poleni sana,Mungu atukumbuke atupe kila kitu kwa kiasi embu niambie ndizi ndo angalao zilikuwa zinalinda nyumba zetu wiki 2 zijazo nini kinaliwa na mwaka jana mavuno hayakuwa kivile na vuli haikuwepo,
 
wanajf kuna kimbunga kikubwa kimepita arusha sijui kimetoka wapi na sijajua madhara yaliyotokea...nadhan ni katrina

ilikuwa hatari kweli...mbaya zaidi ilikuwa inanyesha mvua ya matope.....dah...kilinikuta sehemu nikawa katikati....kidogo nikosekane duniani leo.......

ilikuwa hatari kweli...mbaya zaidi ilikuwa inanyesha mvua ya matope.....dah...kilinikuta sehemu nikawa katikati....kidogo nikosekane duniani leo.......

i see. . . Pole sana!
Ila mvua ya matope ikoje mie mgeni yerusalemu nifafanulie plz
 
Back
Top Bottom