Tume ya kuchunguza utajiri wa afrika uliopotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya kuchunguza utajiri wa afrika uliopotea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by assa von micky, Feb 20, 2012.

 1. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  BBC imetangaza kuwa Raisi wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ataongoza tume ya kuchunguza utajiri wa Afrika hasa madini ambao umepotelea ughaibuni(Ulaya na Amerika) tume hiyo haina kiongozi mwingine kutoka bara la Afrika zaidi ya Mbeki.Tume hiyo itakuwa na jukumu la kuchunguza namna ambavyo watu mbalimbali wakiwemo viongozi na wafanya biashara wamefuja mabilioni yatokanayo na Madini katika bara la Afrika.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Naombea hiyo tume imalize salama mwaka m1 waliopewa wasije kufanyiwa umwakyembe na mafisadi ya kiafrika,huu ndio utakua mwisho wa hawa mabazazi ya kiafrika.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
Loading...