Kuwa na afya bora sio chaguo maalum la kuwa waziri-waziri chami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa na afya bora sio chaguo maalum la kuwa waziri-waziri chami

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 20, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Nasikiliza itv watakuwa na kipindi jumatatu wakihojiaana na waziri wa viwanda na biashara mh chami..kwenye marudio..katika maelezo yake anaeleza mbinu zinazofanya serikali ya kikwete kuimarika kwenye sekta hi na alipoulizwa swala la afya yake alikua kama mbogo akasema

  """nanukuu!!!!!""mi nashangaa ati waziri chami afya yake mbovu awezi kuendelea na uwaziiri kwa afya yake nani kawaambia afya bora ndio chaguo la kuwa waziri..waziri ni pale unapoweza kutimiza majukumu ya kumsaidia rais na ndio maana makelele yao wengi hata rahisi anayapuuzaaa naomba watanzania mjue hilo..ammjui dk wangu amjui afya yangu mtu anaamka na kuropoka tu oooh chami anaumwa hiki anaumwa kile

  kazi kweli kweli tusishangae wanaendelea kuumwa wakafia kwenye viti sijui wakitoka marupurupu yao awapati ama...bianfsi ni kweli anachosema ila nahisi ukifika swala la ufanisi mwenye afya bora anaitajika zaidi
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Zaidi fungua itv saa tatu na dk 40
   
Loading...