Jamani naomba tusaidiane hili swala,Ukienda uwanja wa taifa Polisi wanakushawishi kutoa chochote ili ukakae sehemu utakayo,Mfano jana wakati wa mechi ya STAZ NA DRC tiketi nyingi zilizouzwa...
naona kila kukicha viongozi wa nchi hii inaonekana hawajui wajibu wao!hadi tatizo lionekane kwenye vyombo vya habari hususani ITV,ndio utawaona wanaibuka na kuanza kulishughulikia,mfano toka...
Huu nadhani ni mwaka wa nne tangu tumekuwa tukizungumza na kutoa maoni kuhusu kadhia wanayopata wageni wanaoingia Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam DIA.
Sasa hebu someni hapo chini: hii nimeikuta...
Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu...
Ni kituko cha ajabu jamanindugu yangu mmoja amenipigia simu kuna mwanamke aitwae zainabuni kichaa ameingia mpaka ndani ya uwanja sehemu ya kuonyeshea tkt iitwayo checkin counter na kuleta hisia za...
kutokana na mfumuko wa bei unaoendelea nchini bila ufumbuzi wa tatizo hili,imepelekea thamani ya fedha za ndani kushuka..ni wazi sasa ukienda na sh.elfu kumi sokoni haitoshi kwa mahitaji ya...
Heshima zenu wakuu?
nilipata dili katika kampuni hii Perdue Farms, hawa jamaa walikuja hapa Tanzania kutaka ku invest lakini mpaka leo ni zengwe kutoka wizara ya Mifugo..
nimeamua kuja na wazo...
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino ramadhani, ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King Junior ya mwaka 2012 kutokana na juhudi zake za kutetea haki na Amani kwa watu wote katika kipindi chake cha utumishi...
Wadau kuna watu wengine huwa hawawezi kusema matatizo yanayowasumbua badala yake wananyamaza tu. Wacha mimi niliyepita nikawaona niwasaidie kuyasema!
Nilipita Kyela (Kwenye jimbo la Dr...
Napata shida sana wadau wa jf ni post yangu ya kwanza toka nimeingia humu jana, watanzania hatuna serikali. Sijapata jambo ambalo nimeisifia hii serikali na kuona inafanya kazi. Source ya failure...
Baadhi ya wazee ambao walishiriki katika kongamano la kutathmini matokeo ya mtihani yaliotangazwa na baraza la elimu Tanzania (NECT) ambalo limewafutia jumla ya wanafunzi 3303 kwa madai ya...
Kamati ya upelelezi wa tukio la kigaidi linalo julikana kama Oklahoma City Bombing inadai
kuwa na ushahidi wa kushangaza
unao thibitisha kuwa Serikali ilificha ukweli halisi wa tukio hilo...
Wana wa familia ya JF habari za wakati huu natumai mu wazima.
Natumai kuna mtu alikwisha wahi andika humu suala hili kama miaka miwili iliyopita ila naona hawa jamaa hawaendi na wakati na...
wadau hapa ubungo mataa moto unawaka kwenye fremu za biashara na unasambaa kwa kasi.ukiwa unatokea mwenge ni upande wa kulia. nilikua kwenye foleni na magari muda si mrefu yatafungana
mara nyingi kwa siku za karibuni tumesikia kampeni ya kipolisi inayoenda kwa jina la polisi jamii.kampeni hii pamoja na mambo mengine imelenga kujenga ukaribu wa polisi na raia ili kuzuia...
IGP MWEMA ameunda tume ya kuchunguza mauaji ya raia yaliyofanywa na police kwa ajiri ya nini?????????maana madaktari wameshathibitisha kwamba watanzania hao wameuawa kwa risasi,na tayari police...
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland...