afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

afya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by grace saria, Feb 24, 2012.

 1. g

  grace saria New Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu mtoto wake apewe dawa ya usingizi na kufanyiwa operation?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nafahamu ni mgeni sasa ungebadilisha heading ya thread ingesomeka
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  moja ya sababu ya kusaini hiyo form ni kujikinga kisheria na makosa ya kidaktari
   
Loading...