Moto ubungo

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
wadau hapa ubungo mataa moto unawaka kwenye fremu za biashara na unasambaa kwa kasi.ukiwa unatokea mwenge ni upande wa kulia. nilikua kwenye foleni na magari muda si mrefu yatafungana
 
dah!? Pole kwa wajasiriamali wote. Kwa nyakati hizi za Upungufu wa Posho Ofisini (UPOO), si ajabu yakatekea yote.
 
samahani wadau nimeshaondoka eneo la tukio ila mpaka naondoka fire walikua hawajafika na moto ulikua unasambaa kwa fremu zingine na ulikua mkubwa
 
zamani kulikuwa na fire hydrant,ambazo zingesaidia kuzima moto,sasa sijui fire watafika lini na foleni hii
 
Hawa fire leo wamekuja kasulu kuuza stiker,fire extinguisher za moto.waliomo kwenye gari lile ni matrafik. Nafkiri kesho asubuhi wanaanza kamatakamata ya magari.watu wanajiuliza,wanashndwa toa semina mjin wanakuja apa kasulu ambapo umeme umewaka juzi na watumiaji hawazid elfu 4.pole waathirika wa huo moto.hao fire wa dar wako huku vijijin
 
Moto ni mkubwa sana, dakika ishirini zilizopita nilikuwa hapo, hakuna zimamoto inatisha sana, pole zao wajasiriamali wenye biashara hapo
 
u wengine vimeo kweli yani,sasa we umepata taarifa halafu unakurupuka na kuleta ***** wako apa badala ya kuleta kitu kilichokamilika ili wana JF wajue kilichotokea.
 
wakati moto unaanza nilikua kwenye foleni, ni fremu zile ukiwa unatoka mwenge ziko upande wa kulia. moto ulianza kama vile moto wa chips unavyolipuka mala ukaanza kuwa mkubwa na wakati unaanza kuenea kwa fremu zingine taa zikawa zimeruhusu na nikasepa. magari yalikua yashaanza kuhaha kupita kukimbia na nahisi yalifungana na kufunga barabara
 
Back
Top Bottom