Breaking news:kichaa aingia ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya kuonyesha tkt;usalama wa uwanja upo ?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ni kituko cha ajabu jamanindugu yangu mmoja amenipigia simu kuna mwanamke aitwae zainabuni kichaa ameingia mpaka ndani ya uwanja sehemu ya kuonyeshea tkt iitwayo checkin counter na kuleta hisia za ajabu je mwendawazimu anaweza kuingia uwanjani mpaka ndani kirahisi hivyo je mwenye mabomu si rahisi zaid???bibie huyo ambae nyuma yake inaemekana alikuwa akifwatwa na mappolisi aliweza kupita watu wa uwanja wanaokagua tkt na passpirt na kuingia na kuppita ndanya machine bila kupingwa alipokamatwa alishaingiandani inasemekana alianza kudai ameachwa ameambiwa na yesu mumewe mtarajiwa yuko marekani so documents zote mungu amemwonyesha zipo tayari yesu atawaonyesha wanaoziitaji na yeye kwenda na emirates ni huzuni kubwa kwakweli kama wanaume mnaoa na kuwaacha wanawake mpaka wanakuwa wanachanganyikiwa hivi basi ni kutafuta laana.......mamam huyo alieamini mume bora yuko marekani aliendelea kuimba nyyimbo za tenzi yesuuuuuuuuuuu uniiiiipendaeeeeeeeeee kwakooooooooo nakimbiliaaaaaaaaaaa ni weweeeeeeee utoshayeeeeeeeee mwovuuuuuuuuu akinijiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa akaanza kkusema washindweee kwa jina la yesu wote waliooooooonizuia kwenda marekani washindweeeeeeeeeeeeeeeeee yesuuuuuuuuuuuuu washindweeeeeeeeee mungu ampe nguvu amalize salama bado tunajiuliza usalama wa uwanja uko hatarini kama mwehu anaingia mpaka ndani mwenye silaha si anawamaliza mliopo huko jamani naamini vyombo vya usalama vitatenda haki kuhusu hili
 
duh!! kweli life is so hard huyo mama anajua akienda marekani basi mambo yatamnyookea ..hajawahi kusikia mtu aliyeua familia yake yote baada ya kuachishwa kazi/?nhajawahi kusikia no free lunch huko?...always sehemu ambayo sisi hatuko/hatujawahi kuishi ni nzuri..waliopo vijijini wanaambiwa wakienda mjini watapata maisha mazuri waliopo mjini wanajua ukienda mtoni maisha mazuri.
 
Back
Top Bottom