Jaji mkuu Mstaafu Ramadhani apewa tuzo ya haki za binadamu

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,360
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino ramadhani, ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King Junior ya mwaka 2012 kutokana na juhudi zake za kutetea haki na Amani kwa watu wote katika kipindi chake cha utumishi wa Umma.

MY TAKE:

Hii ni dhihaka kubwa sana kwa watanzania hasa ikizingatiwa ushiriki wake katika kesi ya mgombea binafsi.

Kwa kweli sijaona ni wapi alisogeza mbele tasnia na uwanja wa haki ya binadamu, yeye ndiye aliyekataa kuondolewa kwa adhabu ya kunyongwa.

Hii inafifisha kwa kiasi Kikubwa sana heshima ya tuzo hiyo
 
Baada ya wazungu kugundua utajiri wao upo mashakani, wameamua kujipendekeza kwa watu wenye vyeo ili waweze kujipenyeza kuchuma rasilimali za nchi masikini. Hii tuzo ina maana gani kwa Watanzani? Tangu lini Martin alileta faida yoyote hapa Tanzania. Kila kitu kikiwa katika context kina maana lakini kama hakipo katika context hakina maana yoyote.
Hizi tuzo lazima tusizitilie maanani. Mimi huwa nazichukulia kama vile napita mjini halafu nasikia mtu anaongea kwa simu. Mfano akisema "mavi" siwezi kufikiri kwa nini anatukana kwa sababu inawezekana mtoto wake ameshika mavi nyumbani au choo kimejaa nakadhali na kadhalika. Kumbe tusizipe umuhimu wowote kwani hazitusaidii chochote.
 
Kesi ya mgombea binafsi aliingiliwa na serikali. Hakuna tatizo kwa yeye kupewa!
 
hawajui historia yake mtu wa marshal court toka lini akawa na haki za binadamu,wangefuatilia kesi alizoamua wakati wa vita.
 
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino ramadhani, ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King Junior ya mwaka 2012 kutokana na juhudi zake za kutetea haki na Amani kwa watu wote katika kipindi chake cha utumishi wa Umma.

MY TAKE:

Hii ni dhihaka kubwa sana kwa watanzania hasa ikizingatiwa ushiriki wake katika kesi ya mgombea binafsi.

Kwa kweli sijaona ni wapi alisogeza mbele tasnia na uwanja wa haki ya binadamu, yeye ndiye aliyekataa kuondolewa kwa adhabu ya kunyongwa.

Hii inafifisha kwa kiasi Kikubwa sana heshima ya tuzo hiyo

Sifa za kijinga
 
Kesi ya mgombea binafsi aliingiliwa na serikali. Hakuna tatizo kwa yeye kupewa!
yawezekana huyu mzee anasitahili hii tuzo lakini ubaya amehold position hiyo nyeti katika serikari ambayo kila mtu anaamini kuwa anayejihusisha na hii serikali naye 'anafanana nayo'

Ngoja tusubiri na muda utatueleza ukweli but the man is so humble!

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino ramadhani, ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King Junior ya mwaka 2012 kutokana na juhudi zake za kutetea haki na Amani kwa watu wote katika kipindi chake cha utumishi wa Umma.

MY TAKE:

Hii ni dhihaka kubwa sana kwa watanzania hasa ikizingatiwa ushiriki wake katika kesi ya mgombea binafsi.

Kwa kweli sijaona ni wapi alisogeza mbele tasnia na uwanja wa haki ya binadamu, yeye ndiye aliyekataa kuondolewa kwa adhabu ya kunyongwa.

Hii inafifisha kwa kiasi Kikubwa sana heshima ya tuzo hiyo

huyu bwana anastahili kupewa ya luther si kama ile iliyotolewa na ****** ya miaka 47 kwa upendeleo wa kidin na kumnyima mheshiwa huyu.jk ajifunze anavyoaibika kwa kumnyima kwa visa.hi ya luther ni zaidi ya huyu jamaa wa phd feki
 
Ulitaka apewe dingi yako nini ?

Kwa sababu sioni mantiki ya dingi yako kupewa basi wewe unadhani nilitaka dingi yangu apewe.

Ndio matatizo ya watanzania, wewe eleza kwa nini unadhani anastahili kupata, mambo ya madingi yanatoka wapi? Very cheap thinking.
 
Kesi ya mgombea binafsi aliingiliwa na serikali. Hakuna tatizo kwa yeye kupewa!

So he sacrificed judicial independence and still say that hakuna tatizo la yeye kupewa. No let's be serious.

Kama uhuru wake wa kuamua uliingiliwa na executive then kiukweli hakustahili hata kidogo kupewa, it's a big shame on him.
 
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino ramadhani, ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King Junior ya mwaka 2012 kutokana na juhudi zake za kutetea haki na Amani kwa watu wote katika kipindi chake cha utumishi wa Umma.

MY TAKE:

Hii ni dhihaka kubwa sana kwa watanzania hasa ikizingatiwa ushiriki wake katika kesi ya mgombea binafsi.

Kwa kweli sijaona ni wapi alisogeza mbele tasnia na uwanja wa haki ya binadamu, yeye ndiye aliyekataa kuondolewa kwa adhabu ya kunyongwa.

Hii inafifisha kwa kiasi Kikubwa sana heshima ya tuzo hiyo

yethu na maria!!! uone jinsi tunavyopumbazwa na hao jamaa...wanalainisha kila kiungo cha seriakli polepole , ili wakija kuomba kuchimba gesi au mafuta, utakuta vyombo vyote vya dola vimelainika....si juzi tu tulikuwa tunasifiwa kwa uchumi na wengine wa uingereza? ......good luck!
 
Back
Top Bottom