inakuwaje? viongozi wa serikali kuwa wanaamshwa na tv kutimiza wajibu wao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inakuwaje? viongozi wa serikali kuwa wanaamshwa na tv kutimiza wajibu wao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Feb 24, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  naona kila kukicha viongozi wa nchi hii inaonekana hawajui wajibu wao!hadi tatizo lionekane kwenye vyombo vya habari hususani ITV,ndio utawaona wanaibuka na kuanza kulishughulikia,mfano toka serikali itangaze wale wote waliojenga majumba na kuziba sehemu ya bahari kupumulia,wabomoe wenyewe kumbe jamaa walikuwa wanaendelea tu kujenga!juzi itv wameonyesha jinsi ujenzi unavyoendelea kwa kasi,jana uongozi wa manispaa ya kinondoni na wizara wameibuka tena!kusimamisha ujenzi tena!sasa huwa wanamdanganya nani? Mi nadhani kama dalili za kuijenga somalia zinazoanza kufanyika zitafanikiwa bac muda c mrefu nao watatuacha ki maendeleo!kwani kila tatizo limekuwa changamoto!hi kauli siipendi.
   
Loading...