Hii ni haramu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni haramu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jonogomero, Feb 24, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Diwani unataka kuitwa MUHESHIMIWA wakati mtaa wako emejaa MATAKATAKA kibao, mmekalia kukusanya ushuru mpaka kwa wauza vitumbua. Shame
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Enzi za RIP Nyerere ilikuwa "Cheo ni Dhamana" lakini siku hizi "Cheo Ulaji" hivyo kwa kuwa Wabunge wanaitwa Waheshimiwa ndio maana na MAdiwani nao wanapenda waitwe hivyo!!!!!

  Usishangae ipo siku na Wajumbe wa Nyumba 10, nao watapendekeza kuitwa hivyo waheshimiwa kwani nao ni viongozi.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...