Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshume Kiyate, Feb 23, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF.
  Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
  Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kamuulize slaa!
   
 3. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja katika Katiba Mpya !!!!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli chadema kubalini mlikosea,hii nchi bana!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Acha umbea mtoto wa kiume wewe
   
 6. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Mtu anaweza akakaa hapahapa Tanzania na asifanye la maana so haijalishi, cha muhimu ni umefanya nini, na umetimiza wajibu wako kiasi gani na si unapoishi
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unamzungumzia nani huyo; Yule waziri wa Biashara wa CCM, Nyalandu (aka Mzee wa 'Marekani Wananitaka Niwe Rais Wenu'), au unamzungumzia yule wanabe Mbunge wa Mtera Malecela Junior wa jijini New York???

  Kama ulikua unamzungumzia Leticia wala si mtu wa kuulizana saaana juu ya nyumbani kwao Butiama kwa Baba yetu asiyefungamana na kitu UFISADI.


   
 8. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kweli ww mchuzi wa bata tena uliochacha unapate muda wa kufikiria hayo badala ya maendeleo ya nchi?mbona mwenyeketi wenu wa chama anaishi naye marekani muda mrefu na hukusema?saa hizi yuko nyumba ndogo london umekaa kimya?tena huwa anaenda hata kwenye matamasha ya kina 50cent angalia hiyo avatar yangu alikua kwenye tamasha la 50cent,CDM hakuna magamba kama huko kwenye hadi kamanda achaguliwe vigezo vinaangaliwa na siyo ufamilia,nahisi huo upupi ulionao na akiri zako ni fupi pia
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mambo ya Slaa hayo...kimbe Nyerere...nilidhani naye ni wa Karatu!!!
   
 10. n

  ngangali Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mleta mada naomba ufunge mdomo, maana unachafua hali ya hewa ya JF ni hilo tu mkuu,
   
 11. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Hivi huyo ni Mtanzania au ni Mmarekani!? kama ni mtazania basi sioni tofauti kati yake na wabunge wengine wa viti maalumu ambao makazi yao ni Dar es salaam. Hapa Dar wana mtumikia nani? mfano mzuri ni mama Lwakatare akitoka bungeni anarudi kwenye biashara zake za shule na kanisa, vikao vya bunge vikianza anaenda Bungeni. Hilo ndio tatizo mkuu la hivi viti vinavyoitwa maalum.

  Hata hao wabunge wa kuchaguliwa, wangapi wanaishi majimboni mwao? labda hilo jimbo liwe liko mjini, vinginevyo wanaonekama majimboni wakati maalum tu wa kisiasa basi.
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  wabunge wa viti maalumu wanachaguliwa kutokana na wingi wa kura walizopata kwenye uchaguzi mkuu, Letcia alipita kura nyingi sana huko Geita kama sikosei na inasadikika huenda alishinda wakamchakachua sasa ulitaka baada ya kupata kura nyingi basi chadema wangevunja katiba yao kwa kumwambia kuwa kwa kuwa hukai hapa basi wewe hupewi ubunge wa viti maalum?? chama kina katiba hakiongozwi kama club ya pombe za kienyeji!!so hoja ya msingi ni kuangalia upya suala la viti maalum vigezo virekebishwe na chama kiwe kinampnagia mbunge majukumu hata wakati ambap sio wa bunge ili awatetee wananchi viti maaalum hawana majimbo hii inawapa loop hole ya kuwa loose!!
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  MOD Tafadhali hamishia Hii kwenye udaku & jokes
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,462
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Kwani Mwenyekiti wa CCM anakaa wapi muda mwingi wa mwaka?(Kwa sasa yuko London)
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  tabula rasa tu wewe hivi unavooandika unashirikisha ubongo au unatumia masaburi tuu?? ukabila , udini umekujaa!!! hapo ndio mwisho wako wa kufikiria??
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa sijui Watanzania anawatumikia muda gani sababu hata huko bungeni hakuna mchango wowote anaotoa kwa taifa. kama sasa sidhani kama yupo Tanzania.
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Faza maandaziiii...hukosekani?
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anayeleta ukabila na udini ni mimi au ni hao viongozi wako wa CDM...
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kesho Bakheresa anatoa ubwabwa usiache vaa suruali fupi na ndizi pamoja na pili pili tembea nazo! Baada ya salaa Ijumaa
   
 20. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Aisee,CDM hakifai.Huyu analipa kodi kwa Obama,halafu anakula kodi zetu hapa Tanzania.
   
Loading...