Polisi wa Uwanja wa Taifa wanachukua Rushwa balaa

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
Jamani naomba tusaidiane hili swala,Ukienda uwanja wa taifa Polisi wanakushawishi kutoa chochote ili ukakae sehemu utakayo,Mfano jana wakati wa mechi ya STAZ NA DRC tiketi nyingi zilizouzwa zilikuwa za elfu 2 lakini cha ajabu VIP C ilijaa na huko kwenye tiketi za buku 2 kulipwaya.Huu utaratibu upo siku zote pale TAIFA sijui tutafika wapi na mambo haya.Usishangae ukakata VIP A kwa elfu 30 na mwenzako akakata ya elfu 5 kisha mkakaa wote sehemu moja....
 
Kwa mishahara wanayolipwa,ni vema na haki kula mlungula!Wewe unataka wakale wapi?au wafe njaa?kumbuka serikali inadai haina hela ya kuwaogezea mishahara watumishi wake,licha ya gharama za maisha kupanda mara 5 zaidi ktk miaka mi5 iliyopita!Watumishi,shime chukueni rushwa jamani,tena msimuonee mtu huruma!
 
Kitu kama siku hizi ukisha kabidhiwa jezi ya polis unaambiwa ukajitaftie mshahara vyovyote ujuavyo
 
Back
Top Bottom