mauaji songea,Kama madaktari wamethibitisha,na wahusika wamekamatwa,sasa tume ya nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mauaji songea,Kama madaktari wamethibitisha,na wahusika wamekamatwa,sasa tume ya nini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHAI CHUNGU, Feb 24, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  IGP MWEMA ameunda tume ya kuchunguza mauaji ya raia yaliyofanywa na police kwa ajiri ya nini?????????maana madaktari wameshathibitisha kwamba watanzania hao wameuawa kwa risasi,na tayari police hao4 wauwaji wamekamatwa,sasa tume ya nini??
  Si ni bora kesi hiyo wampe yule PILATO aliyetoa hukumu ya SAMAKI wa magufuri jana?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  polisi eti wanajikamata
  wanajichunguza
  wanajiandikia mashtaka
  inawezekana kweli?
   
Loading...