Post yangu ya kwanza - Serikali ya Kikwete haina kiongozi makini hata mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post yangu ya kwanza - Serikali ya Kikwete haina kiongozi makini hata mmoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lastname, Feb 24, 2012.

 1. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Napata shida sana wadau wa jf ni post yangu ya kwanza toka nimeingia humu jana, watanzania hatuna serikali. Sijapata jambo ambalo nimeisifia hii serikali na kuona inafanya kazi. Source ya failure ni kule kupeana madaraka watu wasio na uwezo kama mama meghji.

  Kamala n.k ambao unakuta mkuu wa nchi kawang'ang'ania kama nini hata kama wananchi watawakataa. Hii ndio source ya matatizo yote yanayotukabiri.

  Watu wanamsifia JK kuhusu mswada wa katiba wakati wanaotakiwa kusifiwa ni mabalozi walioona uhuni unafanyika pale bungeni wakaenda kumbana na kusema badili hiii, lakini yeye alishakubari na akasign hivyo ni mabalozi ndio wa kusifiwa. Yeye kazi ni ku praise wazungu. Inaniuma sana ndugu zangu watanzania nchi inaendeshwa kihuni huni sana.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  umetumwa wewe - upo ile kambi yetu nini? :lol:
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hujakosea nimetumwa na instinct zangu kaka.

   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  umenyimwa cheo/dili gani Lastname?
   
 5. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyu ni CDM a.k.a VINEGA!
   
 6. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijamyimwa kitu ila nawahurumia wanangu na wajukuu, watakuta nini kama tutaendelea kuongozwa na watu wasio na maadali ya kazi? ebu mfano mdogo kamati ya kwenda kuchunguza mauaji ya songea mchunguzi keshakuwa biased kabla hata hajafanya ile kazi sasa anaenda kufanya nini huko na majibu anayo?

   
 7. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umenielewa vibaya mkuu

   
 8. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Lastname usikatishwe tamaa na comments za watu ambao fikra zao zimeganda kama jesuit na watu. Ingawaje ni post yako ya kwanza lakini nakuona wewe ni Great thinker kwa hiyo style uliyoanza nayo. Keep it up
   
Loading...