Ushauri wa mbinu za kupambana na ufisadi nchini Tanzania, unaonaje mbinu hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa mbinu za kupambana na ufisadi nchini Tanzania, unaonaje mbinu hizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Feb 24, 2012.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kuhusu namna ya kupambana na ufisadi Tanzania unakuwa mgumu kwa kuwa Mafisadi wana mamluki katika kila kona. Mfano hata humu JF wamo, sasa ni muda muafaka wa kushauriana namna/mbinu mpya za kufichua maovu ya mafisadi katika kupambana nao. Kila mmoja achangie anavyoona inafaa kupambana na mafisadi. Ninapendekeza mbinu hizi:
  1. Kuwa na mawakala wa JF na wapinga ufisadi misikitini na makanisani.
  2. Kuwataja kwa majini mafisadi, wafuasi wao na matendo yao.
  3. Kujifanya ni wafuasi wao ili tupate hizo fedha zao kwa kufanyia kazi ya ukombozi.
  4. Kuorodhesha mali za mafisadi ndani na nje ya nchi, mamluki wetu wa kwenye mabenki na BRELA watasaidia kwa hili.
  5. Kutoa ulinzi unaoonekana na usioonekana na wapinga ufisadi wote nchini Tanzania.
  6. Kuhakikisha JF haitekwi na mafisadi na ikitokea kutekwa tuwe na mbadala.
  7. Endeleza.................................
  Nawasilisha.
   
Loading...