Nilicheka!

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,224
6,356
Leo katika pilikapilika zangu za hapa na pale nilikutana na jamaa wanabishana juu ya sie wabongo kuiga vitu ambavyo haviendani na maadili ya kwetu. Jamaa wakarushiana maneno huku kila mmoja akitetea upande wake. Kikubwa hapa walikuwa wanabishana jinsi redio za kwetu zinavyopenda kupromote miziki ya nje na kuisusa ya nyumbani kimakusudi ili hao presenters waonekane ni watu wa matawi hata kama inglishi yake ni ya kubabaisha atajifanya ni mjuzi na kuboronga tu hivyo hivyo. Ndipo hapa nikakutana na huu msamiati wa kicheko: eti mademu feki (wanaojifanya ni wa matawi ya juu) wanaitwa mademu wa kibongo fleva, na mtu yeyote anayejifanya hajuwi Kiswahili japo ni mbongo anaitwa mbongo fleva. Kweli nilicheka na nilikuwa sijuwi huu msamiati!
 
....nimesoma thread yako na nimegundua hicho kilicho kuchekesha hakikuwa na sabab ya kukuchekesha-ni cha kawaida sana.:poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom