kwanini Uhamiaji inachelewesha kutoa pasipoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini Uhamiaji inachelewesha kutoa pasipoti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Daraja la miti, Feb 24, 2012.

 1. D

  Daraja la miti Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Naomba niiulize Idara ya Uhamiaji ni lini nitapata pasipoti yangu, fomu yangu ya maombi nilipeleka makao makuu Kurasini tangu mwezi oktoba mwaka 2011 ,lakini mpaka sasa sijapata pasipoti yangu,naomba niwaulize nifanyeje ili niipate na kama kuna rushwa natakiwa nitoe,basi nitoe shilingi ngapi ? na fedha hiyo nimkabidhi nani? nasema hivyo kwa sababu umepita muda mrefu sana bila kupata pasipoti,pia huwa mnasema kujaza fomu mpaka kutoa pasipoti inachukua siku saba kwa waombaji wa Zanzibar na wale wa Da es salaam, lakini kwa mikoani inachukua wiki mbili,naomba Uhamiaji mnijibu swali langu.
   
 2. S

  Shansila Senior Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo c kawaida,lazima kutakuwa na tatizo hapo,hasa kwenye requirements!Labda unaenda umepanic na kuishia kujibizana nao mbovu,badala ya kuambiwa dosari.Pasi cku hizi hata wiki haifiki.Ni pm nikusaidie,acha kulalama.
   
 3. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Siyo wewe tu hata mimi nilijaza fomu Desemba mwaka jana hadi leo sijapata majibu kama nilikubaliwa au la.
   
Loading...