Mahojiano ya Dr Hamis Kigwangalla na Clouds FM

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
anaelezea safari yake ya maisha na siasa.follow the link below
Clouds FM - 88.4 FM Dar es Salaam - Listen Online

msimamo wake kuhusu posho za wabunge:haungi mkono hoja ya kupandisha posho kwa wabunge wakati kuna makundi kama madaktari na waalimu wanadai maslahi yao.
anasema ni heri kuboresha ofisi ya mbunge iwe kama taasisi badala ya kumpa mbunge posho wakati wajibu wake ni kukaa kwenye kikao.
 
ukiwa ndani ya CCM, unanuka rushwa tu. Huyo ndo aliyempokonya bashe haki yake ya kikatiba.
 
Jamaa bonge la kilaza last time aliandika pumba kwenye wall yake akimponda J. Makamba kuhusu posho leo anameza matapishi, na hilo la kupigania ubunge iwe kama taasisi ndicho Zitto alikuwa anawaambia yeye na waosha vinywa wenzie wakawa wanapinga leo anaenda kuzungumza kwenye media mambo yaleyale yatolewayo na watu wanaowadharau huko bungeni. Zitto aliwaambia sheria inasema mbunge yapaswa awe na mtafiti na vitu vinginevyo, wagonga meza wakawa wanawaza posho tu..... Kuna mijitu mingine inaingia kwenye siasa kiujanja ujanja lakini hawana lolote, mmoja wao ni huyu kilaza...

Shame on you, hufahamiki wewe ni popo au kitu gani.......
 
asante mkuu umemaliza yote huyo hana mvuto akajipange upya
 
Wewe naona una chuki zako binafsi tu na huyu MB, maana kama nakumbuka vizuri ni kwamba yeye alimponda January Makamba kwamba ana hoja ya msingi lakini mbona hakutoa ushauri huo mzuri kwenye platform mbalimbali anazoingia?

Pia Kigwangalla alishatoa msimamo wake kuhusu posho na alisema yote haya anayoyasema toka mwaka jana (ushahidi ingia kwenye blogu yake utaweza kujua ni nani aliyesema mapema kuhusu ku-institutionalize posho?) Kama mtu huna chuki zako binafsi ni lazima utamkubali tu huyu kijana, kwa sasa ni miongoni mwa vijana makini kabisa katika hazina ya viongozi tulionao nchini, kuliko hata hao unaowasifia - ambao wana 'mashaka makubwa yanayowalenga' mara kujenga maghorofa, mara kuchangiwa pesa za kampeni, mh!

Back
Top Bottom