Polisi Tanzania wasipewe bunduki wapatiwe Marungu

Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
2,664
2,124
Matumizi makubwa ya nguvu na ya kutokutumia akili na busara za kawaidi yalionyesha na jeshi la polisi songea hivi karibuni,na pia huko Arusha,Mbeya iko haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana katika jeshi la polisi kwani hata ukiangalia nchi za wenzetu wanatumia mbinu za kibinadamu kuwatuliza raia.

Maswali ya kujiuliza

1. Ni nani anatoa amri ya kufyatua risasi ? hili swali nalo pia ni muhimu kupata jibu na muhusika atuambie ilikuwaje.

2. ikibidi polisi kupewa silaha wakapimwe akili kwanza?

3.Mafunzo ya kutuliza maandamano wanayopewa polisi wetu yanakidhi haja ?
 
Back
Top Bottom