Kulikoni: Reginald Mengi kuwa kimya siku hizi??

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Jamani wala si chokochoko, Mzee wetu maarufu sana kwa kumwaga Mipesa mitaani na kukemea mafisadi Papa na hata kufikie kupishana njia na Yusuph Manji, Siku hizi amekaa kimya sana kuliko kawaida.
Kulikoni mzee huyu? au ni kukaushia?

Wengi amewatoa kiaina na Walemavu najua wanampa Salute sana DSM...

where is he?
 
Ameona watz ni vigumu kusaidiwa. Kwa changamoto aliyoleta, ingetupasa tuingie mtaani na kuwatoa hawa majambazi madarakani.
Lakini kwa kuwa tumelogwa na mwenge wa uhuru, ameona atuache tu tuendelee kulalamika.
 
Amesoma story ya HUTAKI UNAACHA akafungu akili na ukichanganya na mambo ya MWAKYEMBE lazima anyamaze kama anapenda maisha yake na biashara . Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Yuko berbados Anamlamba mtoto mzuri Jackline mtuyabaliwe karudia ujana halafu unaleta story za mafisadi
 
Yuko berbados Anamlamba mtoto mzuri Jackline mtuyabaliwe karudia ujana halafu unaleta story za mafisadi

hapo kwenye led kunatisha kama sio umbeya, ya mwakyembe ayajaisha na yupo serikalini je yeye ajitaki, hata ya kutegeshewa dawa nayo haina solution , si wanaweza sema kambaka Klin na uzee huu
 
Yuko berbados Anamlamba mtoto mzuri Jackline mtuyabaliwe karudia ujana halafu unaleta story za mafisadi
That mzee kweli ka prove ng'ombe hazeeki maini aiseeee...he's 70's na bado anatukimbiza vijana kwa kuchukua vitu vikali.....Hivi wamefunga ndoa?
 
Mengi alitakiwa awe Berlusconi wetu hapa. Sijui anasitasita nini! Angeinunua Yanga, akaanzisha chama halafu akajizungushia totoz basi.
 
Yuko berbados Anamlamba mtoto mzuri Jackline mtuyabaliwe karudia ujana halafu unaleta story za mafisadi

Source????
Mkuu Kama huna data za uhakika kuhusu uliyoweka hapa apologise hapajamvini ni jukwaa la great thinkers na siyo mahali pa kuchafua watu kwa malipo kiduchu kutoka kwa mafisadi tafadhali sana . Natoa angalizo kwamba mimi ni independent member na wala siyo kipenzi cha Mengi.
 
we umasikini wako utakumaliza. One down (rostam), many more to follow. it is just a matter of time
 
That mzee kweli ka prove ng'ombe hazeeki maini aiseeee...he's 70's na bado anatukimbiza vijana kwa kuchukua vitu vikali.....Hivi wamefunga ndoa?

Na ndo kinachomtesa maana angekuwa keshaoa dogodogo baabu! Mke walifunga ndoa na ni business partner wa IPP mkuu.
 
Mwacheni ale vyake mzee wa watu. Umri wake sasa anatakiwa ku slow down, awaache vijana wakimbiekimbie.

Any heir to.... Known?
 
mwacheni mzee wa watu-ameona hata akisaidiwa watu-wanasiasa wanapotosha adhima yake kila siku-huku wengine wanataka kumpa kashfa za madawa ya kulevya.
bora atulie atafute pesa zake
 
wabongo bwana uwe kimya wanachonga uongee sana wanachonga,sasa ukimya wake unawahusu nini kila cku sio lazima aonekane kwenye vyombo vya habari.kila mtu ajali ya kwake yanayomletea maendeleo vingine si vya lazima.habari ndio hiyo
 
Jamani wala si chokochoko, Mzee wetu maarufu sana kwa kumwaga Mipesa mitaani na kukemea mafisadi Papa na hata kufikie kupishana njia na Yusuph Manji, Siku hizi amekaa kimya sana kuliko kawaida.
Kulikoni mzee huyu? au ni kukaushia?

Wengi amewatoa kiaina na Walemavu najua wanampa Salute sana DSM...

where is he?
yupo kwao machame kajichimbia ktk migomba mizito ya ndizi akitafakari biashara zake.
 
Back
Top Bottom