Mufti Zanzibar-Waislam someni acheni kulalamika

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali.

My take.

Nashukuru kwa kiongozi wa kiroho kukiri kwanza uzaifu wao wa kulalamika kuhusu kuonewa wakati kumbe ukweli wanaujua angesema hayo kama mzee ruksa kule Muslim university Moro angechapwa vibao ila kwa kuwa ni....... hakuna swali

Nawasilisha
 
Kajifunze kiswahili kwanza ndio urudi,sio "uzaifu"bali ni "udhaifu"
 
Huyu ni Mufti wa Bakwata au wa wale wengine? Nina mashaka hii kauli inaweza kuwa challenged
 
Dont be vague, say
1. punguza muda watoto wanasoma chuoni/madrasa(saa nane mchana hadi kumi na moja jioni kila siku isipokuwa alhamisi na ijumaa)

2. Vetting viwango vya ufaulu wa walimu wa madrasa.
 
Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali.

My take.

Nashukuru kwa kiongozi wa kiroho kukiri kwanza uzaifu wao wa kulalamika kuhusu kuonewa wakati kumbe ukweli wanaujua angesema hayo kama mzee ruksa kule Muslim university Moro angechapwa vibao ila kwa kuwa ni....... hakuna swali

Nawasilisha

A real man with two balls hanging between his legs always know his enimies.
Adui mkubwa wa jamii ya kiislam ni 'UJINGA'.
Wazazi wanapuuza jukumu la kufuatilia mwenendo wa masomo na maendeleo ya taaluma ya watoto wao alafu kwenye mitiani wototo hao wakifail wazazi wanaanza kulia lia na udini pasi kuzingatia kuwa 'mtu huvuna alichokipanda'.
An empty head is devil's workshop.
 
Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali.

My take.

Nashukuru kwa kiongozi wa kiroho kukiri kwanza uzaifu wao wa kulalamika kuhusu kuonewa wakati kumbe ukweli wanaujua angesema hayo kama mzee ruksa kule Muslim university Moro angechapwa vibao ila kwa kuwa ni....... hakuna swali

Ni vyema kama amelitambua hili, kwenye shule za Kiislamu walimu wa "Arabic Language na Islamic knwoledge" wapo mpaka watano, ila walimu wa masomo ya kisekula kama Biology, hesabu, physics, chemistyr nk hawapo na ni jambo la kawaida
 
Mods kawapiga Ban waliochangia mada moja iliyosema " shule nyingi za kiislamu za shika mkia" juzi like 2 weeks kawafungia wote hapa JF, sasa Mufti kasema waislamu wasome wanafeli, wawafungulie..... UKWELI THEY HAVE TO DIG IN SIO MADRASSA kila siku....

Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali.

My take.

Nashukuru kwa kiongozi wa kiroho kukiri kwanza uzaifu wao wa kulalamika kuhusu kuonewa wakati kumbe ukweli wanaujua angesema hayo kama mzee ruksa kule Muslim university Moro angechapwa vibao ila kwa kuwa ni....... hakuna swali

Nawasilisha
 
kwa mtazamo huu hata udini hautakua na nafasi hongera mufti
 
Back
Top Bottom