Raisi jakaya kikwete anahusika 10% na ugonjwa wa mh mwakyembe/h

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Msomi mhadhiri msaidizi kutoka idara ya sayanzi ya siasa udsm bashiru ally amesema mh jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya tanzania hapaswi kukwepa tuhuma wala kupuuza malalamiko ama maoni ya wananchi kuhusu ugonjwa unaomkabili mh h mwakyembe

amesema kwa hali ya nchi ilivyo sasa si muda muafaka kuanza kuwatishia ama kuwakebehi watu wanaoweza kumsaidia kutoa mawazo mema mh raisi..usikivu ni moja ya sifa ya kiongozi bora mwacheni rais nae awe msikivu hata kwa maandamano alisema mh

alisema ugonjwa wa mh mwakyembe una uhusiano mkubwa na tatizo k ubwa linaloitatiza serikali ya mh rais kikwete yaani ufisadi amesema mhadhiri huyo..alifafanua ufisadi umekuwa umekuwa mahusiano ya kitamaduni kisiasa na kiuchumi takribani miaka 27 sasa kama ilivyo maisha ya viumbe hai wanaoshambuliwa na maradhi mbali mbali

matumizi ya methodolojia ya ki marx yatatuwezesha kubaini kwamba kiini cha mkanganyiko uliopo serikalini mwa kikwete kuhusu ugonjwa wa mwakyembe ni ufisadi uliopitiliza ambao amekuwa akiulea miaka nenda rudi kwa minajili ya urafiki na undugu...hii ni sehemu chafu sana ya serikali yetu uwezi kumwambia mh raisi ufsadi akakuelewa atawalinda kwa garam yoyote alisema mh ali

mhadhiri amesema kumekuwa na ongezeko la vitendo vya wanasiasa kutegemea zaidi mabavu ya dola na ufadhili wa taasisi za kibeberu ili kujihami dhidi ya makundi ya kijamii kisiasa yenye mwelekeo wa kizalendo kwa kupungua kwa kiasi kikubwa uwezo wa vyombo vya dola vyenye dhamaana ya kuthibiti vikundi vya kihalifu ama vya uporaji

aidha amelaani maradhi kama haya ya mh mwakyembe yasipothibitiwa mapema mfumo wa siasa hushindwa kufanya kazi na hatimaye umoja wa kitaifa kuvunjika na utengemano wa kisiasa kuondoka ..alisema dalili zote hizo zimeanza kuonekana na hii ni kutokana na mh raisi kutokuwa makini na viongozi anaowaongoza...

Hivi karibuni kumeibuka mkanganyiko kutokana na kauli za ugonjwa wa dk mwakyembe kupitia upande wa sheria ambao uliongozwa na mkurugenzi wa jinai dci manumba ukisema mwakyembe ajalishwa sumu huku wizara ya afya ambayo ndio mhimili mkuu wa kutoa taarifa ya afya ya manumba ukisema dci amepata wapi taarifa hiyo na kuonekana wazi mh raisi kukaakwake kimya mbaya kuondoka kwenda nje ya nchi bila kutoa ufafanuzi huu basi asubiri mawe na vituko siku akifikiria kuja kumzika mh harrison mwakyembe
 
Maneno Kuntu hayo..wapiii FF na papaa mpua Reja0
 
Fisadi na mpinga ufisadi hawawezi ku enjoy same rights.
Kwa kutowachukulia hatua mafisadi ni sawa na kuwapa baraka kisiri siri hadi wengine wanadiriki kusema hawakufahamiana na Rais barabarani.
Kwa hali hii visasi vikianza ule wimbo wa kisiwa cha amani tuusahau.
 
Hawa ndo wahadhiri tunaowataka kuliko wengine waliojaa uccm na udini, tunakushukuru sana kwa ufafanuzi you the position
 
Tunataka sasa tuwasikie wahadhiri kwenye tasnia zingine,kila siku tunawasikia kwenye siasa,imefika wakati tuwasikie wahadhiri wenye fani ya kilimo,biashara,uvuvi,civil engineering,electrical engineering as hawa wa siasa hawana jipya,kama kusikia jk keshasikia ya siasa sasa tugeukia wa taaluma zengine!
 
Back
Top Bottom