Tunaliheshimu sana Kanisa Katoliki, Tunawaheshimu sana viongozi wake. Kanisa Katoliki angalau mpaka ninapoandika uzii huu ni Kanisa tajiri sana, linamiliki Taasisi muhimu sana, Hospitali...
Archbishop calls for government to return nationalised schools: The Church of England Newspaper, Oct 28, 2011 p 7. October 30, 2011
Posted by geoconger in Anglican Church News, Anglican Church...
Nilienda mjini tarehe 27/02/2012 kuweka pesa yangu kwa wakala wa MPESA mjini. Wakala akapokea pesa na kuiweka akaniambia nisubiri msg ya kuwekea pesa toka MPESA kama kawaida. nilisubiri weee bila...
Imekuwa kawaida sana sasa hivi mtu ukimpigia simu yake mara haipati kan,sijui huna salio la kutosha hivyo ongeza kwanza fedha na mwisho kabisa unampigia mtu sim unakuta kabla haija anza kuita...
Jamani taarifa yao ya habari haielewki.watangazaji wanaongea mambo yao+bila kujua kwamba wapo hewani.kazi kujisifia kumbe hawana lolote............bora jf kuna kila kitu.
Jana 2802012 Gavana wa Benki Kuu alinukuliwa na vyombo kadhaa vya habari nchini akisema kwamba wateja wa pesa kupitia mitandao ya simu za mkononi (tiGO pesa, M-Pesa, Air ell money, ZAP) wamefikia...
Jf imekuwa msaada kwa jamii kwan hutumiwa na watu wengi wenye sifa na nyadhifa mbali mbali! Hivyo wahusika wa dawasco au yeyeto mwenye ufaham juu ya hili anisaidie! Ni wiki karibu ya tatu sasa...
Nimekuwa nikisikia hii skendo tangia nilipopevuka katika maswala ya Nchi na uongozi wake, ninachoomba kwa yeyote mwenye uelewa wa hii skendo atuwekee hapa jamvini ili sisi tuliombali na uelewa...
kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maswali mengi juu ya code namba hiyo, kwa yeyote anayemiliki simu ukipiga namba hiyo itakupa option nyingi kama za m.pesa , simu banking n.k sasa kiasi cha...
Wakuu mimi nakerwa na huu mchakato. hivi ni jamii gani inayowekaga kikao cha kujadili wanavaa nini na kula nini? mimi naamini mazingira ndiyo yanasema utavaa nini na utakula nini. sasa huu...
Anaitwa casmir mfuse. Tulikuwa wote chuo cha ualimu kleruu iringa 1978. Alikuwa genius (kama kuna mtu atamkumbuka). Alikuwa mwalimu mwanafunzi akitusaidia wengi lakini zaidi wadada walikuwa...
Nimekuwa nikufuatilia kwa ukaribu sana sanaaa taarifa zetu za habari hapa nyumbani tz,Kenya na hata Uganda lakini nika note kitu kwamba kuna mapungufu makubwa sana katika uwasilishaji nikajua ni...
Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi...
Wakuu course ya data analysis imeanza kufundishwa ucc mbezi beach branch tar 27 feb jana.
1.course ni wiki tano(5)
2.jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
3.mahali ni ucc...
Vodacom Ubungo Plaza mbona wamelala?
Nilikuwa na shida ya M-Pesa nikamkuta mwanamke mmoja mweupe mnene kavaa miwami ananijibu kama hataki. Kwanini uliomba kazi vodacom?
Ndiyo tatizo la...
Kuna habari kuwa pilisi kanda ya ziwa wamewaomba watanzania kumwombea mwenzao aliyeumizwa na raia,
My take.
Polisi kupigwa na raia si sawa ila polisi kuuwa raia tena wasio na kosa ni haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.