Nimefiwa na Babamkwe!

Nimefiwa na Babamkwe!

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Habari wana JF? Nimefiwa na Babamkwe wangu Mwalimu Juma Ally Nzumbe kwa wale watu wa Nzega wanaomfahamu. Msiba upo Pugu Kajiungeni kichangani kona ya kisarawe kwa wale wanaomfahamu na wangependa kuja piga 0714507507 au 0786507507. Maziko ni kesho saa saba mchana makaburi ya Kisutu
 
Pole sana na mungu ampumzishe kwa amani baba mkwe wetu.
 
Pole sana!!Mungu awafariji hasa katika kipindi hiki kigumu!!!
 
mungu ametoa na mungu ametwaa
poleni sana mkuu
 
pole sana ndugu hasa katika kipindi iki kigumu, Mungu awatie nguvu, ayo ndo maisha kkwani Mwenyezi mungu kampenda zaidi, wape pole wote.
 
mpwa polesana sana sana MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA BABAMKWE WETU UKION AWEKUNDU NA MSG YA XXX NDIO YANGU MPWA MSALIMIE MA WIII
 
Poleni wafiwa. Mungu Amlaze Marehemu Mahali Pema Peponi. Amina.
 
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ndiyo marejeo yetu sote.
 
Back
Top Bottom