Hii ya Lowassa imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya Lowassa imekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Feb 20, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba tuwekane sawa kuhusu jambo hili!Kumekuwa na desturi ya kuwaenzi viongozi wakuu wa nchi kama rais au waziri mkuu pale wanapoondoka madarakani,huwa tunataja majina kwa kuanza na Neno Mtaafu.Kwa mfano:Rais Mstaafu au Waziri Mkuu Mstaafu.Sasa Mheshimiwa Lowassa,yeye hakustaafu bali alijiuzulu wadhifa wake.Kumuita Waziri Mkuu Mstaafu,ni sawa?
   
 2. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kumwita waziri mkuu mstaafu ni sawa. Huwezi kumwita waziri mkuu aliyejiuzulu kwa sababu kwenye kiswahili sanifu haijakaa vizuri.
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  EL anstahili kuitwa mstaafu kwani hakulazimishwa kujiuzulu bali aliondoka mwenyewe ili kulinda heshima yake na ya chama kwa ujumla.
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kiswahili ingawa ni Lugha yetu na tunaongea kila siku. Lakini ni kigumu sana.

  MABINGWA WA LUGHA FAFANUENI TAFADHARI TOFAUTI YA "KUSTAAFU NA KUJIUZULU"  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,596
  Likes Received: 18,592
  Trophy Points: 280
  Mstaafu ndilo jina stahili na stahiki yake. Kustaafu ni kile kitendo cha kumaliza kutumika!. Hata kama uliteuliwa leo na kuapishwa kesho yake, ukijiuzulu kesho kutwa yake wewe ni mstaafu.

  Hakuna specified period of time ya kustahili kuitwa mstaafu kati ya utumishi wa siku moja na utumishi wa miaka 10!.

  Ila pia tuna vichwa ... humu wanaoamini kustaafu ni mpaka utumikie full term ya cheo husika. Hata kama EL angefutwa kazi bado pia angekuwa mstaafu kwa sababu Maalim Seif alifutwa kazi ya Uwaziri Kiongozi na sasa amerudishiwa haki zake zote kama mstaafu.

  Naomba niwakumbushe kuhusu Jacob Zuma, alifutwa kazi na Mbeki, leo angalia Mbeki yuko wapi na Zuma ni nani!.

  " Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!" na yale ambayo kwa binaadamu hayawezekani, kwa Mungu, yanawezekana!.
   
 6. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  EL anastahili sana kuitwa mstaafu,Pasco amefafanua vema
   
 7. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Mnatoa majibu rahisi kwa maswali magumu .mazingira ya south africa na bongo wapi na wapi suala kuu ni je anastahili au hastahili na aitweje.kiswahili sanifu
   
 8. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana mkuu!
   
 9. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Tafuta neno resign lina maana gani kwa Kiswahili. Hilo ndilo hasa litamtambulisha Lowassa kwa sasa, kwa kuwa yeye aliresign na hakuretire. Kustaafu maana yake ni retire, ambalo kwa dictionary yangu niliyonanayo hapa maana yake ni

  1.
  [ I ] to leave your job or stop working because of old age or ill health

  2. [ I ] to stop taking part in a race or competition because of illness or injury
  She retired from the competition after pulling a leg muscle.
  3. [ T often passive ] If an employer retires an employee, they make that person leave their job, usually at a time when they are near to the age at which they would normally stop working, or because they are ill
  Following the merger, he was retired with a generous pension.

  Kwa mfano wako wa Xuma ni vitu viwili tofauti kwa jinsi unavyoeleza hapo.Kwa kuwa ninaimani South Africa wanatumia Kiingereza basi Xuma aliresign wala hakuretire kama wewe unavyotaka kutuaminisha
  Hata kama ni wapambe wa Lowassa tumieni basi hata akili kumtetea. Lowassa hakuretire kama sifa ya mtu aliyereture inavyoonyesha. Unless uniambie kuwa kustaafu haina maana ya kuretire au kuresign ni sawa na kuretire
   
 10. U

  Uwilingiyimana Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapi na wapi mtu aliyemaliza utumishi kwa aibu akaitwa mstaafu? Inatakiwa atajwe hivi...aliywahi kwa waziri mkuu wa...ndg. EL...
   
 11. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swadakta!Kuanzia sasa Mheshimiwa Lowassa jina lake litaandikwa hivi:ALIYEWAHI KUWA WAZIRI MKUU MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA!!!
   
 12. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Its only the Conference of Clowns Movement where there is no difference between resigning and retiring.
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....labda aitwe "WAZIRI MKUU ALIESUSA"
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni waziri mkuu mstaafu.Tatizo lenu chuki binafsi,wivu ..
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Duu nimecheka sana aisee duu!
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mr Lowasa is Former prime Minister & not Retired Prime Minister.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Pasco mwenzako yupo kazini, kalaghabao!!......
   
 18. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kakojoe kalale!
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,601
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kwanza hakuna waziri mkuu aliyewahi kustaafu! walifikia tamati zao za vipindi vyao!

  staafu hii ni tofauti ya ile kufikisha miaka 65
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,601
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  you are complicating! ataitwa hivyo tu mkuu....hakufukuzwa yy aliachia madaraka, kama wengine

  kwa definition zako hakuna waziri mkuu ambaye ali-retire!!! wote walifikia terms zao
   
Loading...