Hali nimbaya,mgao usikokuwa nataarifa!Mara mtu unavaa t-shirt kazini bilakupenda.Nahii kimara upande wakushoto kama unatoka town ndio vibonde wao!Watoe ratiba au waseme tunakata for a month watz tumeshazoea ingawa inauma mno!
AIBU imeanza tena kuidhalilisha serikali ya Kikwete!
Mipango yenye kila aina ya majina e.g Umeme wa dharula, Mipango endelevu, Megawati...yote ime'prove failure na kupelekea Aibu ya mwaka kwa watendaji!
Hili ni tatizo kubwa wandugu, wanakata umeme saa 11 asubuhi wakati watu wanaamka kujiandaa kwenda kazini. inaudhi sana jamani. Kinachotia hasira ni kuwa tayari nilishalipia umeme kwa mwezi mzima (LUKU ELFU 40,000), lakini hawana uwezo wa kutoa huduma husika! Sheria inasemaje? Hakuna fidia kwa huu usumbufu wa kishenzi namna hii! kwa nini hatuandamani kushinikiza serikali ijiuzulu? Hivi mimi nina akili kweli. Nafanyiwa ushenzi huu nakaa kimya tuuu? Watanzania tutabadilika lini. Lazima nibadilike, niongoze maandamano kupambana na huu uchafu wa Tanesco, Stupidi!!!!!!!!!!
Matak* yao, yaani kila siku mbagala umeme wanakata asubuhi kabla jua halijatoka, then wanarudisha saa 1 usiku. Wapuuzi kweli, bora watangaze tatizo ni nini, wanakaa kimya tu. Hii serikali ya kijing*@ tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.