kutumia hela kupata madaraka

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
wakuu mtuanatumia hela nyingi sana kuingia madarakani ndio mana nchi inashindwa kuendela matatizo kila sehemu umeme maji shida vyakula vinapanda bei wananchi tunalala sana tunataki tuamke tuwache kulalamika we need to act now
 
Jane 000!

Unachosema ni kweli tena ukweli mtupu!
Ila tuna kazi kubwa ya kuelimisha jamii yetu kwn unakuta wanajua kbs mtu ananunua madaraka na hatujiulizi ni kwanini anakupatia pesa umpigie kura.

Lakini nina IMANI ya kutosha ya kwmb mwisho wa ufisadi huo hakika waja!
 
wakuu mtuanatumia hela nyingi sana kuingia madarakani ndio mana nchi inashindwa kuendela matatizo kila sehemu umeme maji shida vyakula vinapanda bei wananchi tunalala sana tunataki tuamke tuwache kulalamika we need to act now
How should we act now while the majority can't see the source of the problems within our families, our societies, our working places, our daily lives?
 
Back
Top Bottom