Rais wangu JK soma methali hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu JK soma methali hizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOMA, Feb 27, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  1.Wenye haki wakiwa na amri watu hufurahi bali mwovu atawalapo watu huugua
  2.mwenye kutawala akisikiliza uongo, watumishi wake wote watakuwa waovu
  3.Kiongozi aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake
  4.Kiongozi huithibitisha nchi kwa hukumu bali apokeaye rushwa huipindua
  5.kiongozi mwenye haki huangalia madai ya maskini bali kiongozi mbaya hana ufahamu hata ayajue
  6. Kiongozi aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki bali mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata akisoma hawezi zielewa. Mkuu hapa ni kama unampigia kuku kinanda. Yale yale ya Mwanaaisha!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Imekaa kimafumbo mafumbo ya nini nipate tabu kuyafumbua.
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Biblical
   
Loading...