Kampuni ya ukaguzi wa mahesabu

B-52

New Member
Feb 26, 2012
2
1
Salaaaaam wana JF, nina kampuni yangu inadeal na ununuzi wa korosho, nina hitajika kufanyiwa auditing kampuni ipi kati ya hizi ina reputation na value for money??
pWC
TANNA SREEKUMAR
INNOVEX
KPMG
PKF
NaOMBENI MSAADAWENU WANDUGU
 
Ndugu b52 nakushauri nenda tana au innovex nimeshafanya nao kazi nyingi wako vizuri na wana team iliyokamili , wana very good proffessional approach mpaka ss hawa tana ninadeal nao wako vzr. .Hizi big names watakuzingua uwalipe hela miiiingi fo the small assgnment wakati tana au inovex wana reasonable price quality job
 
Nadhani neno value for money umelitumia kwa bahati mbaya au kutokujua maana yake. Kama unataka repoti iliyotulia go for pwc or kpmg but kama unataka kukidhi mahitaji ya sheria go for tana
 
Nadhani neno value for money umelitumia kwa bahati mbaya au kutokujua maana yake. Kama unataka repoti iliyotulia go for pwc or kpmg but kama unataka kukidhi mahitaji ya sheria go for tana
kpmg, pwc au deloitte kwa kampuni ndogo ni kama kujiongezea gharama. nenda na practice firms ndogo kama jamaa wa kwanza alivyokushauri unless financiers wako wawe wanataka ze big4
 
Back
Top Bottom