Msaada:Kesho kutwa nina safari

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Natarajia kusafiri kwa basi jumanne ijayo kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam.Nisafiri kwa basi lipi kati ya haya:Sumry High Class,Ally's Sports na Green Stars?

Usiku mwema wakuu.
 
Green star na mabasi yote ya aina ya YUTONG ni hatari kwa matumizi, kamata Allys hautajutia nauli na muda wako!
 
Watu wengine sijui mkoje kama huna jibu la kumsaidia atumie usafiri gani ungekaa kimya si kujibu hovyo.

Asanteni kwa mlionishauri na ninaendelea kupokea ushauri zaidi...Huyo B-52 ni wakusamehe bure mkuu ukizingatia kuna watu na viatu Duniani napia Ubinadamu kazi..
 
Usisahau kutuma msg kwenye kile kipindi cha radio free africa kutustua tukupokee. Uje na hayo mahela uliyouza ng'ombe eeh baba!
 
Usisahau kutuma msg kwenye kile kipindi cha radio free africa kutustua tukupokee. Uje na hayo mahela uliyouza ng'ombe eeh baba!

"Nduhu tabu mkuu.."Vipi samki aina ya SATO na SANGARA vipi...Nikuletee?
 
Mkuu Ally's, jamaa wako standard, lastwik nimesafir nao go n' return.! Achana na hayo mabasi mengne yatakutia jaka la roho bure, hiyo ni safari ndefu sana
 
Ng'wana Sweke umepotea sana mkuu! Back to topic panda gari lolote lakn siyo Allyz, wanaringa sana siku hiz halaf hawajal wateja.

Mkuu Skype nipo nimejaa tele..."Mhola ahene..."Shukrani kwa ushauri.
 
Mkuu Ally's, jamaa wako standard, lastwik nimesafir nao go n' return.! Achana na hayo mabasi mengne yatakutia jaka la roho bure, hiyo ni safari ndefu sana

Shukrani mkuu kwa ushauri.
 
panda green star, allyz ni hatari kwa matumizi ya binadamu,utapata mapresha bure,li bus linakimbia utadhani unaenda london!after all green ni more luxuary than allyz na speed yake iko mzuka
 
Ngwa'na sweke dimaga e aliz, neyo wahiaga ehaha atale amakanza nkoi, oluochelelwa okwesoma e nho'lo mujizungu.
 
Back
Top Bottom