Wapenda mayai tahadhari!

Wapenda mayai tahadhari!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1
 
Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1

duh,hahahahahahahahahah,MAYAI FAKE!
NIMETUMIWA SMS NA MY BRO AKINAMBIA'KUWA MAKINI NA ULAJ MAYAI,KUNA MAYAI FAKE'
 
Mbali na Yai kuwa ''VIZA'', yai fake unalitambuaje?
 
Rangi yake ni mchanganyiko uleule kuna brown kdg na mengine meupe! Ila bei yake iko chini!
 
Tbs,tfda,tra,aaaah jaman mbona this is a serious ishu?yaani mh!halafu mamlaka hucka zipo kimya,
 
Back
Top Bottom