Nashangazwa sana na majina ya vyama vya kisiasa hapa nchini

mdegela

Member
Feb 27, 2012
7
3
habari ndugu zanguni wana j.f nashangazwa sana na majina ya vyamavyetu vya siasa,hivi tunashindwa kutumia majina ya kwa lugha yetu ya taifa,me nahisi niukosefu wa uzalendo,na naona hii ni bado hali ya kutawaliwa!!
 
Vitaje ulivyovikusudia, maana CCM, CHADEMA na CCK ni vifupisho (acronym) vya majina ya vyama husika kwa kiswahili (lugha ya taifa).
 
habari ndugu zanguni wana j.f nashangazwa sana na majina ya vyamavyetu vya siasa,hivi tunashindwa kutumia majina ya kwa lugha yetu ya taifa,me nahisi niukosefu wa uzalendo,na naona hii ni bado hali ya kutawaliwa!!

kwa hiyo CCM, CDM, CCK ni wazalendo zaidi??
 
Back
Top Bottom