SI LAZIMA ALIYEONGOZA KURA ZA MAONI AKARUDISHWA; Nape.....!!!!!!!!!!!!!!!

zamwamwa

Member
Jun 16, 2011
46
10
Nimemsikia Nape akisema kupitia TBC1 kuwa ETI si lazima aliyeshinda kura za maoni Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Magamba(CCM) akateuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea wa Chama hicho katika uchaguzi mdogo ujao!! Hii imenistua kwanini Nape aseme hili kwa Arumeru na hakusema kwa Igunga mbona???.... Nahisi panamchezo wa kumuondoa SIOI mkwe wa Waziri Mkuu aliyefukuzwa na bunge kwa kashifa ya Richmond na Dowans asigombee ubunge pale na sasa vuvuzela wao anauandaa umma kupokea maamuzi hayo...
PEOPLES.........................
 
Kansa haina dawa nafuu yake ni kukata sehemu ya kiungo, CCM ndivyo wanavyotaka kumfanya Sioi,

hawana jinsi wanafikiri watapona wakati ugonjwa umeshatapakaa mwili mzima.

Nape it is too late to catch a moving train.
 
vita ya Nape na Lowasa, mikorogano ya Wanaccm, ubutu wa utawala wa kikwete unakwenda kusakiziwa kwa Sioi!!! maskini mfiwa!!!!
 
Shsh, tulia niangalie niangalie ccm inakoenda basi nawewe?! Ah. Hiyo, hiyo, hako, e, kanatokomea, hicho, hicho, aaa?! Tulia basi nawewe! Naona kamkiaaa!
 
Nimemsikia Nape akisema kupitia TBC1 kuwa ETI si lazima aliyeshinda kura za maoni Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Magamba(CCM) akateuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea wa Chama hicho katika uchaguzi mdogo ujao!! Hii imenistua kwanini Nape aseme hili kwa Arumeru na hakusema kwa Igunga mbona???.... Nahisi panamchezo wa kumuondoa SIOI mkwe wa Waziri Mkuu aliyefukuzwa na bunge kwa kashifa ya Richmond na Dowans asigombee ubunge pale na sasa vuvuzela wao anauandaa umma kupokea maamuzi hayo...
PEOPLES.........................

FLASHasinkingboat.gif
 
Hapo wakimtoa tu sioi watakuwa wameharibu kila ki2 wataanguka vibaya maana itakuwa wameuuzi mpaka driver (white hair) manake si anamtetea mkwe wake na kwa hilo white hair atareack na kuwa aganst them.
 
subiri maigizo yao!!! utaona characters tofauti ila mchezo wanamwachia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi!! Mjasili wa vyama kisha bolonga, CCM haikubaliki na wala haimwamini mgombea yeyote, Kamanda wa polisi tutakula naye sahani moja, sasa atakayebakia kumalizia gemu ni huyo sijui makame, sijui lubuva au kiravu....!!!
 
Back
Top Bottom